DMI:WATALAAMU WA USAFIRISHAJI MUHIMU KUONGEZA USHINDANI WA BIDHAA ZA NDANI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma CHUO cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kimesema kuwa Tanzania inahitaji kuongeza idadi ya wataalamu wa usafirishaji na usimamizi wa mnyororo wa bidhaa ili kuongeza tija, ushindani wa bidhaa za ndani na kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Akizungumza wakati wa alipotembelea Maonesho ya Wakulima Nanenane ,Mkuu wa…

