TANZANIA KINARA WA HIFADHI GRAPHITE AFRIKA,MAHITAJI YA LITHIUM YAENDELEA KUONGEZEKA DUNIANI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Mjiolojia kutoka Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Njombe, Abbas Mruma, amesema Tanzania inaendelea kujijengea nafasi muhimu duniani kutokana na kuwa na hifadhi kubwa ya madini muhimu ya kimkakati, yakiwemo graphite, lithium na rare earth elements, ambayo ni nguzo muhimu katika maendeleo ya teknolojia za kisasa na nishati…

Read Full News

TTB YAKUTANISHA WADAU KUJADILI MUSTAKABALI WA DESTINATION TANZANIA

Na Mwandishi Wetu,Arusha BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imewakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii katika Destination Tanzania Stakeholders Forum 2026 iliyofanyika jengo la Ngorongoro, Arusha, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika kuitangaza Tanzania na kuongeza ushindani wa sekta ya utalii duniani. Jukwaa hilo liliwakutanisha wawakilishi kutoka serikalini, sekta binafsi, vyama vya utalii, waongoza watalii,…

Read Full News

MAULIDI KITENGE AUNGANA NA TANESCO KUHAMASISHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA UMEME

📌 Aahidi kutumia jukwaa lake kuhamasisha wananchi kutumia umeme kwa shughuli za kupikia 📌 Ushirikiano huo waunga mkono jitihada za TANESCO na Serikali za kuongeza matumizi ya nishati safi ya kupikia Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Mwanahabari nguli Maulidi Kitenge, ameungana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhamasisha wananchi kutumia nishati safi ya kupikia…

Read Full News

BALOZI OMAR: MAPINDUZI YA VIWANDA NI MUHIMU KATIKA KUKUZA UCHUMI WA NCHI ZA AFRIKA

Na Benny Mwaipaja, Banjul, Gambia. Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa nchi za Afrika zinahitaji kuchukua hatua madhubiti za kisera na kikodi ili kuiwezesha sekta ya viwanda kuchangia ukuaji wa uchumi, kukuza ajira, kuimarisha uzalishaji na kupanua mauzo ya nje. Mhe. Balozi Omar amesema hayo aliposhiriki mjadala kuhusu nafasi ya…

Read Full News

COASCO YASISITIZA UKAGUZI WA VYAMA VYA USHIRIKA USHIRIKA 

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO), CPA Jeremiah Mgeta, amesema taasisi hiyo imejipanga kuhakikisha vyama vyote vya ushirika nchini vinakaguliwa katika mwaka wa fedha 2026/27 ili kuimarisha uwajibikaji, uwazi na kuongeza imani ya wanachama. CPA Mgeta alitoa kauli hiyo alipotembelea banda…

Read Full News

JINSI TTCL INAVYOCHANGIA UCHUMI WA KIDIGITALI KUPITIA INTANETI YA BEI RAHISI

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam SHIRIKA  ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imesema kupitia shughuli zake mbalimbali zikiwemo  intaneti  liimeendelea kutoa mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa kidijitali nchini. Akizungumza katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), Meneja wa Mahusiano wa TTCL,Ester Mbanguka  alisema shirika ambalo ni namna moja katika…

Read Full News

WAMILIKI WA VYOMBO VYA MOTO WAHIMIZWA KUKATA BIMA 

Na Aziza Masous,Dar es Salaam KAMPUNI  ya NIC Insurance imewahimiza wamiliki wa vyombo vya moto nchini kuhakikisha wanakata bima ili kujikinga na athari ambazo zitawasababishia hasara zinazoweza kujitokeza pindi yanapotokea majanga au ajali. Akizungumza katika Maonesho ya 50 ya Biashara Dar es Salaam  Sabasaba,Afisa Bima wa NIC Insurance, Iman  Mollel  bima katika vyombo vya moto…

Read Full News

WANANCHI WAFURIKA SABASABA KUSHUHUDIA MAONESHO YA BIASHARA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WANANCHI wamejitokeza kwa wingi katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam leo Julao 7, 2026 kushiriki na kutembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea kuvutia washiriki kutoka ndani na nje ya nchi.Tangu asubuhi, viwanja hivyo vilishuhudia msongamano mkubwa wa wageni waliokuwa wakitembelea mabanda mbalimbali ya taasisi za umma, kampuni…

Read Full News