
REA KUFIKISHA UMEME NA NISHATI SAFI YAKUPIKIA KATIKA VITONGOJI
Na Asha Mwakyonde, DODOMA MKURUGENZI wa Usimamizi wa Rasilimali Watu na Utawala kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Renatus Msangira amesema kuwa wakala huo itahakikisha inafikia malengo yote ya kuweka umeme vijijini ambapo kwa sasa wanaenda kuweka umeme kwenye vitongoji. Pia amemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa malengo yake ya dhati ya kuhakikisha wananchi…