
VIONGOZI WAANZA KUWAOGOPA WAJUMBE MOROGORO
Na Mwandishi Wetu,MorogoroWAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Morogoro wamelazimika kuhudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho Wilaya huku wakitakiwa kuzima simu huku lengo ikidaiwa kuwa ni kudhibiti ‘uvujishaji wa siri za kikao hicho. Hatua hiyo imedaiwa kutokana na agizo lililotolewa na Katibu wa Chama hicho wa Wilaya hiyo…