
KEKI KUBWA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI YATINGISHA SABASABA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIKA Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba,kampuni ya Laziz Bakery imeibua mshangao na kuvutia maelfu ya watazamaji baada ya kutengeneza keki kubwa yenye uzito wa tani 3 sawa na kilo 3,000 ikiwa ni keki kubwa zaidi kuwahi kutengenezwa Afrika Mashariki. Keki hiyo si tu ya kipekee…