
WANAWAKE,VIJANA WATAKIWA KUJUSAJILI Na MFUMO WA NeST
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imewahamasisha Watanzania, hususan vijana, wanawake na watu wenye ulemavu, kujisajili kwenye mfumo wa manunuzi ya kielektroniki wa Serikali (NeST) ili kunufaika na zabuni za asilimia 30 zilizotengwa kwa ajili ya makundi maalum Akizungumza Julai 5, 2025 katika Maonesho ya 49 ya Biashara…