Skip to content
Friday, September 25, 2026
NPCC YATOA ELIMU YA KUJIKINGA NA SUMU YA NYOKA KWA WANAFUNZI
MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJINI KUKAMILIKA IFIKAPO MWAKA 2030
MKOA WA RUKWA MBIONI KUUNGANISHWA KWENYE GRIDI YA UMEME YA TAIFA
FILAMU YA ‘THE RHINO OF NGORONGORO’ KUTOA ELIMU ZAIDI KUHUSU FARU
Taifa Tanzania

Taifa Tanzania

Gazeti lako la kila siku

Youtube Live
  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
  • Biashara
  • Burudani
  • Fashion
  • Gazeti Taifa
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi

Chief Editor

Saroj Mhr

Lorem ipsum is simply dummy text
  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
NPCC YATOA ELIMU YA KUJIKINGA NA SUMU YA NYOKA KWA WANAFUNZI
MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJINI KUKAMILIKA IFIKAPO MWAKA 2030
MKOA WA RUKWA MBIONI KUUNGANISHWA KWENYE GRIDI YA UMEME YA TAIFA
FILAMU YA ‘THE RHINO OF NGORONGORO’ KUTOA ELIMU ZAIDI KUHUSU FARU
Taifa Tanzania

Taifa Tanzania

Gazeti lako la kila siku

Youtube Live
  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
Hot News

NPCC YATOA ELIMU YA KUJIKINGA NA SUMU YA NYOKA KWA WANAFUNZI

1 day ago1 day ago

MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJINI KUKAMILIKA IFIKAPO MWAKA 2030

1 day ago1 day ago

MKOA WA RUKWA MBIONI KUUNGANISHWA KWENYE GRIDI YA UMEME YA TAIFA

1 day ago1 day ago

FILAMU YA ‘THE RHINO OF NGORONGORO’ KUTOA ELIMU ZAIDI KUHUSU FARU

3 days ago3 days ago

TANESCO YAELEZA MIKAKATI YAKE YA KUKABILIANA NA ATHARI ZINAZOWEZA KUJITOKEZA WAKATI WA MVUA ZA EL NINO

3 days ago3 days ago

IDARA YA UTAFITI, MIPANGO NA UWEKEZAJI TANESCO WAASWA KUFANYA KAZI KWA UBUNIFU

3 days ago3 days ago

KINGOBA:HAKUNA HABARI YENYE THAMANI KULIKO MAISHA YA MWANDISHI

3 days ago3 days ago

REA YABORESHA UZALISHAJI CHUMVI SINGIDA, YAWAWEZESHA WANAWAKE

1 week ago1 week ago

MADAWATI YA MSAADA WA KISHERIA NYENZO MUHIMU KATIKA UPATIKANAJI WA HAKI NCHINI

1 week ago1 week ago

DK.MWIGULU:WATU ZAIDI YA MILIONI MBILI HAWAJACHUKUA VITAMBULISHO NIDA

1 week ago1 week ago

Highlight News

Kitaifa
NPCC YATOA ELIMU YA KUJIKINGA NA SUMU YA NYOKA KWA WANAFUNZI
Kitaifa
MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJINI KUKAMILIKA IFIKAPO MWAKA 2030
Kitaifa
MKOA WA RUKWA MBIONI KUUNGANISHWA KWENYE GRIDI YA UMEME YA TAIFA
Kitaifa
FILAMU YA ‘THE RHINO OF NGORONGORO’ KUTOA ELIMU ZAIDI KUHUSU FARU
  • Kitaifa

OFISI YA MSAJILI YAZITAKA TAASISI ZA UMMA KUTUMIA SABA SABA KUJITANGAZA

Aziza Masoud1 year ago1 year ago02 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam OFISI ya Msajili wa Hazina imetoa rai kwa taasisi za umma kutumia maonesho ya 49 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam  maarufu kama Sabasaba kama jukwaa la kutangaza huduma zinazotolewa na serikali. Akizungumza Jumatatu, jana  katika viwanja vya Saba saba, Sabato Kosuri, ambaye ni Kaimu Mkuu wa Kitengo…

Read Full News
  • Kitaifa

CPA LUBUVA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KONDOA

Aziza Masoud1 year ago1 year ago01 mins

Na Mwandishi Wetu,KondoaMJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Comrade CPA.Hassan Lubuva amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kondoa kupitia chama hicho. CPA Lubuva amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025 na kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Wazazi wa chama hicho willaya Juma Seif katika ofisi za…

Read Full News
  • Biashara

NMB KUHUDUMIA ZAIDI YA WATEJA 900,000 SABASABA

Aziza Masoud1 year ago1 year ago02 mins

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam ZAIDI ya wafanyabiashara 3000 na wateja 900,000 wanatarajiwa kutembelea banda la benki ya NMB katika Maonesho ya 49 ya  Biashara Dar es Salaam (DITF)   maarufu kama Sabasaba kwa ajili yakupata huduma mbalimbali ikiwemo kufungua akaunti. Akizungumza leo Juni 30, 2030 katika  viwanja vya Sabasaba,Mkuu wa Matawi na Mauzo wa benki…

Read Full News
  • Kitaifa

TRA KUTOA HUDUMA YA TIN VIWANJA VYA SABASABA

Aziza Masoud1 year ago1 year ago02 mins

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imewataka wananchi wanaohitaji  kuhudumiwa masuala mbalimbali yakikodi  ikiwemo namba ya utambulisho wa biashara (TIN) kufika katika viwanja vya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba kuweza kupata huduma hiyo Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 30, 2025…

Read Full News
  • Fashion

KEKI KUBWA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI YATINGISHA SABASABA

Aziza Masoud1 year ago1 year ago02 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIKA Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba,kampuni ya Laziz Bakery imeibua mshangao na kuvutia maelfu ya watazamaji baada ya kutengeneza keki kubwa yenye uzito wa tani 3 sawa na kilo 3,000 ikiwa ni keki kubwa zaidi kuwahi kutengenezwa Afrika Mashariki. Keki hiyo si tu ya kipekee…

Read Full News
  • Kitaifa

ACT- WAZALENDO KUWAKUMBUSHA WATANZANIA KULINDA KURA KUPITIA OPERESHENI MAJI MAJI

Aziza Masoud1 year ago1 year ago01 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaa. Chama cha ACT Wazalendo kimezindua kampeni ya Operesheni Maji Maji, inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 29, 2025 jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu wa Idara ya Uenezi wa chama hicho, Shangwe Ayo, alisema: “Ziara hizi ni…

Read Full News
  • Kitaifa

ALI NURDINI ‘SIX’ AJITOSA UBUNGE KONDOA MJINI

Aziza Masoud1 year ago1 year ago02 mins

Na Mwandishi Wetu, Kondoa MAKADA watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM),wamejitokeza na kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania Ubunge wa jimbo la Kondoa mjini,wakiongozwa na Mkurugezi wa Idara ya Habari elimu na mawasiliano kwa umma wa Taasisi ya mabalozi wa Usalama barabarani (RSA)Ali Nurdin maarufu ‘Six’. Wanahabari walioweka kambi katika ofisi za…

Read Full News
  • Kitaifa

MMILIKI MWANAMKE AONGOZA MAGEUZI YA UCHIMBAJI WA SHABA MPWAPWA

Aziza Masoud1 year ago1 year ago02 mins

Na Mwandishi Wetu,Dodoma MMILIKI wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Bi. Doreen Kissia, ameibuka kuwa mfano wa kuigwa katika sekta ya uchimbaji wa madini ya shaba, akiwa mwanamke pekee anayeongoza mgodi unaotoa ajira kwa zaidi ya asilimia 98 ya wakazi wa vijiji vya Matonya na Kinusi….

Read Full News
  • Kitaifa

DKT. DOTO BITEKO ACHUKUA FOMU JIMBO LA BUKOMBE

Aziza Masoud1 year ago1 year ago01 mins

NA Mwandishi Wetu,Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bukombe amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea Ubunge katika Jimbo la Bukombe. Dkt. Biteko amechukua fomu hiyo na kuirejesha kwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukombe, Ndugu. Leonard Yesaya Mwakalukwa mapema leo Juni…

Read Full News
  • Kitaifa

ALIYEONGOZA KURA ZA MAONI VUNJO 2020,KUMKABILI TENA DK.KIMEI

Aziza Masoud1 year ago1 year ago04 mins

Na Mwandishi Wetu, Moshi Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Enock Koola (35), ambaye aliongoza katika kura za maoni katika kinyang’anyiro cha ubunge mwaka 2020, amechukua tena fomu ya kuwania tena nafasi hiyo ya uwakilishi, akiwa miongoni mwa waliojitokeza kumkabili mbunge anayemaliza muda wake Dkt. Charles Kimei. Mapema leo Juni 28, 2025 saa 2 asubuhi,…

Read Full News
  • 1
  • …
  • 54
  • 55
  • 56
  • 57
  • 58
  • …
  • 79

Habari Zote Mpya

  • NPCC YATOA ELIMU YA KUJIKINGA NA SUMU YA NYOKA KWA WANAFUNZI
  • MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJINI KUKAMILIKA IFIKAPO MWAKA 2030
  • MKOA WA RUKWA MBIONI KUUNGANISHWA KWENYE GRIDI YA UMEME YA TAIFA
  • FILAMU YA ‘THE RHINO OF NGORONGORO’ KUTOA ELIMU ZAIDI KUHUSU FARU
  • TANESCO YAELEZA MIKAKATI YAKE YA KUKABILIANA NA ATHARI ZINAZOWEZA KUJITOKEZA WAKATI WA MVUA ZA EL NINO
  • IDARA YA UTAFITI, MIPANGO NA UWEKEZAJI TANESCO WAASWA KUFANYA KAZI KWA UBUNIFU
  • KINGOBA:HAKUNA HABARI YENYE THAMANI KULIKO MAISHA YA MWANDISHI
  • REA YABORESHA UZALISHAJI CHUMVI SINGIDA, YAWAWEZESHA WANAWAKE
  • MADAWATI YA MSAADA WA KISHERIA NYENZO MUHIMU KATIKA UPATIKANAJI WA HAKI NCHINI
  • DK.MWIGULU:WATU ZAIDI YA MILIONI MBILI HAWAJACHUKUA VITAMBULISHO NIDA

Habari Zote

  • Biashara
  • Burudani
  • Fashion
  • Gazeti Taifa
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi
© 2024 Taifa Tanzania. All rights reserved. Powered By BlazeThemes.