KABIGI AWAASA WATUMISHI TUME YA MADINI KUNG’ARA KWA WELEDI KAZINI

KABIGI AWAASA WATUMISHI TUME YA MADINI KUNG’ARA KWA WELEDI KAZINI Na Mwandishi Wetu,Dodoma Watumishi wa Tume ya Madini wameaswa kuzingatia weledi, uwajibikaji na mshikamano katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuendeleza mafanikio ya Tume pamoja na kuongeza mchango wa sekta ya madini katika ukuaji wa uchumi wa taifa. Akizungumza leo wakati wa maadhimisho ya Siku…

Read More

UJENZI KITUO CHA KUSUKUMA MAJI GOLANI WAFIKIA ASILIMIA 80, WAONGEZA KICHEKO GOLANI, SARANGA NA UKOMBOZI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAKAZI wa Mtaa wa Golani, Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo wafurahishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha kusukuma maji (booster pump) katika eneo hilo uliofika asilimia 80 za ukamilishwaji wake na unaotajwa kwenda kihudumia wakazi takriban 5,000 wa eneo la Golani, Ukombozi pamoja na…

Read More

SERIKALI YAONGEZA UWEKEZAJI TAFITI ZA MADINI,YAWAIMARISHA WACHIMBAJI WADOGO

Na Asha Mwakyonde, DODOMA SERIKALI imeendelea kuongeza uwekezaji katika tafiti za kina za madini kwa lengo la kubaini rasilimali mpya na kuongeza mchango wa sekta ya madini katika uchumi wa taifa, sambamba na kuwawezesha wachimbaji wadogo kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji. Hayo ameyasema leo Aprili 27,2026 bungeni ,jijini hapa na Waziri wa Madini, Anthony…

Read More

DCEA YAPOKEA VIFAA VYA KISASA KUTOKA UNODC

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imepokea vifaa vya kisasa vya uchunguzi wa kimaabara kutoka Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), ikiwa ni pongezi baada ya kutambua mafanikio yaliyofikiwa na Tanzania katika udhibiti wa dawa za kulevya nchini. Pongezi hizo…

Read More

VITONGOJI VYOTE TANZANIA BARA KUWA NA UMEME IFIKAPO MWAKA 2030- WAZIRI NDEJEMBI

📌Ataja miradi kadhaa inayotekelezwa na REA 📌Amshukuru Rais Samia Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia 📌Wabunge waimwagia sifa REA Na Mwamdishi Wetu, Dodoma Serikali imedhamiria kuhakikisha vitongoji vyote 64,359 vya Tanzania Bara vinafikishiwa umeme ifikapo mwaka 2030 ili kuchochea kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii vitongojini pamoja na utoaji wa huduma bora katika maeneo…

Read More