
UVCCM YAZINDUA MFUMO WA KUSOMA ILANI KIDIGITALI
Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa,Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezindua Mfumo wa kisasa wa Kijani Ilani Chatbot ambao utaenda utawarahisishia vijana kufahamu mambo yaliyofanywa na serikali 2020-2025 na yanatarajiwa kufanywa 2025-2030 kupitia CCM kwakutumia vifaa vya mawasiliano popote alipo. Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo uliofanya…