
ORYX,REA KUTOKOMEZA MATUMIZI YA MKAA KUNI KWA WAFANYAKAZI WA MAGEREZA
Na Mwandishi Wetu,Bariadi KAMPUNI ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Wakala wa Nishati Safi Tanzania (REA) wamezindua rasmi mradi mkubwa ambao utawafikia na kuwawezesha wafanyakazi wote wa Magereza kuacha matumizi ya mkaa na kuni na kuhamia matumizi ya gesi. Uzinduzi wa mradi huo umefanyika leo Julai 1,2025 katika gereza la wilayani Bariadi mkoani Simiyu ambapo…