TRA YAWAHAKIKISHIA WAFANYABIASHARA USALAMA WA BIASHARA ZAO
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 13.11.2025 amefanya ziara katika soko la Kimataifa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na kuwahakikishia wafanyabiashara usalama wa biashara zao. Akiwa sokoni hapo Kamishna Mkuu amekutana na viongozi wa wafanyabiashara na wamachinga pamoja na wafanyabiashara wenyewe…

