WAZIRI MBARAWA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MAKUBALIANO KATI YA TRC NA KAMPUNI ZA ITALIA
Na Mwandishi Wetu,Italia Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, leo Agosti 5, 2026, ameshuhudia hafla ya utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) yakimkakati kati ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kampuni ya FS Engineering na ITS Engineering za Italia. Hafla iliyofanyika katika Makao Makuu ya Wizara ya Miundombinu na Uchukuzi ya Italia jijini Rome…

