SEKTA TANO ZAKUTANA KUJADILI ‘BWAWA LA KIDUNDA’
Na Mwandishi Wetu,Morogoro VIONGOZI kutoka Wizara tano mtambuka wamekutana mkoani Morogoro kujadili njia za pamoja katika utekelezaji wa mradi wa bwawa la Maji Kidunda ili kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati. Akiongoza kikao kazi hicho Katibu Mkuu Wizara ya maji, Mhandisi Mwajuma Waziri amesisitiza ushirikiano wa ki sekta katika utekelezaji wa mradi wa bwawa la Kidunda…

