
RAIS DK. SAMIA AIPA NEEMA MIRADI YA KUZALISHA UMEME IRINGA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi bilioni 15 kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa Mwenga Hydro Ltd uliopo Wilaya ya mufindi mkoani Iringa. Hayo yamebainishwa leo Julai 31, 2025 wakati wa ziara ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB) ilipotembelea na kukagua mradi…