MASOKO YA MADINI YAIMARISHA UWAZI KUDHIBITI UTOROSHAJI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Tume ya Madini imesema kuanzishwa kwa masoko ya madini na vituo vya ununuzi wa madini nchini kumeongeza uwazi katika biashara ya madini na kusaidia kudhibiti utoroshaji wa rasilimali hiyo, hatua iliyochangia kuongezeka kwa mapato ya Serikali. Akizungumza leo katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Chinangali jijini…

Read Full News

ELIMU YA VIPIMO YAWAVUTIA WANANCHI, WAAHIDI KUWA MABALOZI WA KUJITOLEA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma “Sasa najua ni nini ninapaswa kuangalia ninapojaza mafuta, kununua sukari au hata ninaponunua gesi ya kupikia.” Ni kauli ya Bw. Bilson Vedastus, mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika Maonesho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea Viwanja vya Chinangali Park, Dodoma. Banda hilo limekuwa kitovu…

Read Full News

BODI YA DAWASA YASISITIZA KUKAMILIKA KWA WAKATI UFUNGAJI WA PAMPU MPYA ZA MAJI

Na Mwandishi Wetu,Pwani ‎Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhandisi Romanus Mwang’ingo, imekagua zoezi la ufungaji wa pampu mpya za kusukuma maji ghafi katika Mtambo wa Kuzalisha Maji wa Ruvu Juu uliopo Mlandizi, mkoani Pwani na kusisitiza ukamilishaji wake kwa wakati.‎‎Pampu hizo,…

Read Full News

WAZIRI RIDHIWANI:TANESCO MUONGEZE VITUO VYA KUCHAJIA VYOMBO VYA USAFIRI VINAVYOTUMIA UMEME

Na Mwandishi Weru,Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amelitaka Shirika la umeme Tanzania ( TANESCO) kuongeza vituo vya kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia nishati ya umeme ili kuongeza wigo wa utoaji huduma hiyo ambayo imeonekana kuleta mageuzi katika matumizi ya nishati safi. Mhe….

Read Full News

TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE UTAFITI WA KINA WA MADINI NCHINI

▪️Serikali ya Canada yavutiwa na MINING VISION 2030 ▪️Utafiti kugusa mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kaskazini ya Tanzania ▪️Waziri Mavunde awaelekeza GST kuainisha maeneo ya kimkakati ▪️Tafiti za kina za madini kuondoa uchimbaji wa kubahatisha ▪️Tanzania yajipanga kufikisha eneo la utafiti kutoka 16% kwenda 50% ifikapo 2030 Na Mwandishi Wetu,Dodoma Tanzania na Canada zimekubaliana…

Read Full News