SERIKALI KUPUNGUZA USHURU WA MAGARI YA UMEME KWA 15%, NA KUSAMEHE KODI VIFAA VYA KUCHAJI MAGARI
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Serikali imependekeza kupunguza ushuru wa forodha kutoka asilimia 25 hadi asilimia 10 kwa baadhi ya magari yanayotumia umeme katika hatua inayolenga kuhamasisha matumizi ya nishati safi na mbadala nchini. Hatua hiyo imetangazwa leo Juni 11, 2026 bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, wakati akiwasilisha makadirio ya…

