GCLA YAWAITA WANANCHI SABASABA KUPATA ELIMU YA KEMIKALI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewahimiza wananchi kutembelea banda lake katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) ili kupata elimu kuhusu huduma za maabara, matumizi salama ya kemikali na uchunguzi wa sampuli mbalimbali. Akizungumza katika maonesho hayo, Mkurugenzi wa Uchunguzi…

