AGENDA YA KUDHIBITI UPOTEVU WA MAJI YATUA PWANI
Na Mwamdishi Wetu,PwaniMAPAMBANO dhidi ya upotevu wa maji yamepokelewa vyema na uongozi wa Mkoa wa Pwani, huku Mkuu wa Mkoa huo, Mheshimiwa Aboubakar Kunenge, akitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuongeza kasi ya maboresho ya huduma ya maji ili kukidhi mahitaji yanayoendelea kuongezeka kutokana na kasi ya uwekezaji na…

