DCEA,TANAPA WATEKETEZA EKARI 614 ZA MASHAMBA YA BANGI
Na Mwandishi Wetu,Morogoro MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na TANAPA na wananchi wa maeneo ya jirani, kuanzia Julai hadi 15 , 2025 wamefanya operesheni mkoani Morogoro, hususan kwenye ushoroba kati ya Hifadhi za Taifa za Mikumi na Nyerere. Katika operesheni hiyo, ekari 614 za mashamba ya bangi ziliteketezwa,…

