TANESCO YANOGESHA SABA SABA KWA KUGAWA ZAWADI YA MAJIKO YA UMEME
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limetoa zawadi ya majiko ya umeme kwa wananci waliofika katika banda lao lililopo katika Viwanja vya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ambao wamejibu maswali vizuri waliyoulizwa walipotembelea katika banda hilo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 7,2025 katika viwanja vya maonesho hayo, Mkurugenzi…

