TAFICO KUNUFAIKA NA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI, SERIKALI KUPANUA UCHUMI WA BULUU
Na Asha Mwakyonde, DODOMA SERIKALI imeendelea kufungua ukurasa mpya katika sekta ya uvuvi nchini baada ya kuongeza nguvu katika uvuvi wa bahari kuu kupitia uwekezaji mkubwa wa miundombinu, ununuzi wa meli za kisasa pamoja na kuimarisha Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), hatua inayotarajiwa kuongeza ajira, mapato ya taifa na kunufaisha uchumi wa buluu. Hayo ameyasema…

