FCC KUENDELEA KUIMARISHA MAZINGIRA YA WAFANYABIASHARA NCHINI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaa. KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC) Hadija Juma Ngasongwa amesema taasisi hiyo imekuwa ikisimamia wawekezaji wa ndani ya nchi kupitia sheria madhubuti zinazosimamia uwekezaji ili kusaidia kuimarisha sekta ya biashara nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 4, 2025 katika banda la FCC katika Maonesho ya 49…

