KAMATI YA JTC YAJIFUNZA MFUMO WA SCADA PBPA
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamKamati ya Pamoja ya Kiufundi (JTC) ya mradi wa Bomba Jipya la TAZAMA, inayoundwa na wataalamu kutoka Tanzania na Zambia, imetembelea Ofisi za Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) jijini Dar es Salaam leo, Septemba 16, 2026, kwa lengo la kujifunza kuhusu usimamizi wa shughuli za upokeaji na ushushaji…

