MHANDISI MRAMBA NA JICA WAJADILI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA NISHATI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na Wataalam kutoka Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) ili kujadili hali ya utekelezaji wa miradi ya Nishati inayofadhiliwa na shirika hilo kwa lengo la kuhakikisha kuwa miradi hiyo inatekelezwa kwa wakati na kwa ufanisi. Kikao hicho kimefanyika tarehe 8 Septemba…

