ENVAITA ILIVYOFANYA MAPINDUZI YA KIDIGITALI

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  JAMII imetakiwa kubadilika na kuacha kutumia njia za kizamani zakualika   watu  katika matukio mbalimbali  badala yake watumie njia zakidigitali ili kuokoa muda na kupunguza usumbufu. Akizungumza leo Aprili 28, 2025  Meneja wa Mawasiliano wa Envaita Praygod Mushi amesema utumiaji wa mialiko ya kadi kwa njia ya kidigitali unaokoa mambo mengi…

Read Full News

KAMPENI YA ‘TOBOA KIDIGITALI’ YA TCB  KUHAMASISHA MATUMIZI HUDUMA KIDIGITI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salam BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua kampeni mpya ya kitaifa iitwayo “Toboa Kidijitali,” yenye lengo la kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kisasa ya kufanya miamala ya kifedha na kuongeza ujumuishi wa kifedha nchini. Kampeni hiyo ambayo ina lengo pia lakurudisha sehemu ya faida katika jamii itadumu  kwakipindi cha miezi minne…

Read Full News

DCEA YAKAMATA TANI 14 ZA KEMIKALI BASHIRIFU

Na Aziza Masoud,Dar es SalaamMAMLAKA ya Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulevya (DCEA) kwakushirikiana na vyombo vingine vya dola, wamefanikiwa kuzuia tani 14 za kemikali bashirifu zilizokuwa ziingizwe nchini kinyume cha sheria. Akizungumza na waandishi wa habari jana Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa DCEA Kamishna Jenerali Aretas Lyimo alisema mpaka sasa operesheni hiyo…

Read Full News