WAWILI MBARONI KWA MAKOSA YA UHUJUMU NA UHAMISHAJI HOLELA WA MITA ZA UMEME DAR ES SALAAM
Na Agnes Njaala, Dar es Salaam Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewafikisha mikononi mwa vyombo vya dola watuhumiwa wawili kutoka maeneo ya Madale kwa Kawawa na Tegeta kwa Ndevu baada ya kubainika wakijihusisha na makosa ya hujuma na uhamishaji holela wa mita kinyume na utaratibu. Akizungumza Septemba 15, 2025 wakati wa operesheni maalumu ya ukaguzi,…

