
COOP BENKI ITACHOCHEA UPATIKANAJI WA RASILIMALI FEDHA
Na Asha Mwakyonde, DODOMA MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Ushirika Tanzania (Coop Bank), Godfrey Ng’urah, amesema kuwa kuanzishwa kwa benki hiyo ni jitihada za makusudi za serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kuchagiza maendeleo na mchango wa sekta ya kilimo katika Pato la Taifa ikiwamo kuhakikisha sekta hiyo inakua…