Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia Idara ya Mawasiliano imeshinda tuzo ya Umahiri katika Mawasiliano ya umma iliyobeba dhima ya “The Best use of Influencers Category for the year 2023” , hafla iliyofanyika usiku wa tarehe 05.04.2024 katika Ukumbi wa St. Peter’s jijini Dar es Salaam, tuzo ambazo zimetolewa na taasisi ya Public Relations Society of Tanzania (PRST).
Mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo hiyo alikuwa Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari – Mhe. Mhandisi Maryprisca Winfred Mahundi.
Ushindi huo umetokana na mchango mkubwa unaotolewa na Idara ya Mawasiliano – TANAPA katika kuhabarisha umma masuala mbalimbali ya Uhifadhi na Utalii.
Idara ya Mawasiliano- TANAPA imekuwa daraja la kuiunganisha taasisi hiyo na umma, hivyo tuzo hiyo itakuwa ni chachu ya kuimarisha mahusiano kati ya TANAPA, serikali, vyombo vya habari na wadau mbalimbali
TANAPA sasa ni jicho la Nchi kwa kuwa Taasisi inatoa mchango mkubwa kuingiza fedha za kigeni na kuchochea ukuaji wa uchumi kwa kasi kupitia sekta ya utalii nchini.
Watoa Shukrani zao za dhati kwa Serikali ya awamu ya sita chini Rais Dkt.Samia kwa kuongeza hamasa katika sekta ya utalii na kuitangaza Kimataifa kupitia Filamu ya Royal Tour.
TANAPA yang”ara tuzo za umahiri – Mawasiliano


Having read this I believed it was rather enlightening.
I appreciate you finding the time and energy to put this short article together.
I once again find myself spending a lot of time both reading and posting comments.
But so what, it was still worthwhile!
I really like what you guys are up too. This type of clever work and coverage!
Keep up the awesome works guys I’ve incorporated you guys to
our blogroll.
Hello there! Quick question that’s entirely off topic. Do you know how to make your
site mobile friendly? My website looks weird when viewing
from my iphone4. I’m trying to find a theme
or plugin that might be able to correct this problem.
If you have any recommendations, please share. Many thanks!
Nice blog here! Also your web site loads up fast!
What host are you using? Can I get your affiliate link to your host?
I wish my web site loaded up as quickly as yours lol
Thank you for the good writeup. It in fact was once a amusement account it.
Glance advanced to far added agreeable from you! By the way, how could we keep in touch?