WATUMISHI REA WATAKIWA KUFANYA KAZI KUENDANA NA KASI YA SERIKALI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu, juhudi, maarifa na upendo ili kuendana na kasi ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati (Umeme na Nishati Jadidifu), Dkt. Khatibu Kazungu wakati akifungua…