ULEGA:TUMUOMBEE RAIS SAMIA APATE NGUVU YAKUENDELEA KUTUONGOZA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WATANZANIA wametakiwa kuendelee kumuombea dua Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ili aendelee kupata nguvu kufanya mambo makubwa ya maendeleo nchini na kwamba wanapaswa kuhakikisha anapata uhakika wakuendelea kuongozo nchi kupitia uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025. Kauli hiyo imetolewa jana usiku Desemba 14,2024 na Mbunge wa Mkuranga Abdalla Ulega katika hafla ya…