DAWASA YAWATANGAZIA FURSA WENYEVITI WA MITAA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KAIMU Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire ametangaza fursa lukuki kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Kigamboni zitakazotokana na ushirikiano bora uliitengenezwa baina yao na Mamlaka hiyo. Mhandisi Bwire amebainisha fursa hizo katika kikao kazi na…

Read More

OPARESHENI YA KUWADHIBITI FISI SIMIYU YAONESHA MAFANIKIO MAKUBWA

Na Mwandishi wetu, Simiyu. Oparesheni maalumu ya kuwadhibiti wanyamapori wakali na waharibifu aina ya fisi waliokuwa wanaleta taharuki na madhara Kwa jamii inayoendelea Mkoani Simiyu imeonesha mafanikio makubwa baada ya fisi 16 kuvunwa ikiwa ni hatua muhimu iliyochukuliwa na Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii ya kuhakikisha usalama na utulivu Kwa wananchi vinarejea. Hayo…

Read More

TAMA:MUITIKIO WA WANAUME KUSINDIKIZA WENZA KLINIKI BADO MDOGO

 Aziza Masoud,Dar es Salaam CHAMA Cha Wakunga Tanzania (TAMA) kimesema kuna  haja yakuendelea kutoa elimu kuhusu  wanaume kuwasindikiza wenza  waliopata ujauzito kliniki  kwakuwa muitikio ni mdogo ambapo asilimia 47  pekee ndo wanatekeleza suala hilo. Akizungumza leo Februari 10, 2025 wakati wakufungua mafunzo ya kutoa huduma za dharula kwa wakunga wa Dar es Salaam kupitia mradi…

Read More

NDEGE KUANZA KUTUA IRINGA FEBRUARY 22

Na Mwandishi Wetu,Iringa WAZIRI wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawawa Uchukuzi amesema mkoa wa Iringa rasmi utaanza kupokea safari za ndege za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ifikapo Februari 22 mwaka huu baada ya kiwanja cha ndege cha Nduli kukamilika kwa asilimia 93. Profesa Mbarawa ameyasema hayo jana alipofanya ziara mkoani Iringa kwa ajili ya…

Read More