
MFUMO WA KUSAJILI WAANDISHI WA HABARI KIDIGITI KUZINDULIWA APRILI MWISHONI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WIZARA ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo kupitia Idara ya Habari (Maelezo) kwa kushirikiana na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema uzinduzi wa mfumo wa kidigiti wa usajili wa waandishi habari unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Aprili ama mwanzo wa mwezi Mei, 2025. Taarifa iliyotolewa leo Machi 28 mwaka…