MAONESHO YA UTALII NA UWEKEZAJI ZANZIBAR FURSA KWA WANANCHI KUJUA VIVUTIO VYA UTALII

Na Mwandishi Wetu, ZanzibarMAMLAKA ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) imeshiriki kwa mafanikio katika Maonesho ya Pili ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2025, yanayofanyika katika viwanja vya Dimani, Fumba Zanzibar, na kufunguliwa rasmi na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga. Kupitia ushiriki wake, NCAA…

Read More

MAWAKILI WA SERIKALI KUKUTANA DAR KESHO

Na Aziza Masoud Dar es Salaam MAWaKILI wa Serikali  nchini wanatarajia kukutana kesho jijini Dar es Salaam kupitia kongamano lenye lengo la kuwaunganisha na kutoa elimu kwa jamii katika masuala mbalimbali yakijamii. Katika kongamano hilo  mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dk.Jakaya Kikwete unatarajiwa kuhudhuliwa na mawakili kutoka Tanzania Bara na…

Read More