RC CHALAMILA ATAKA MIKAKATI YA HARAKA KUBORESHA HUDUMA YA MAJI DAR ES SALAAM
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kufuatilia hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na kuweka mikakati ya haraka ya kuboresha huduma hiyo. Mheshimiwa…

