MHANDISI SANGA: NITAMALIZA KERO YA MAJI SARANGA KWA ASILIMIA 100
Na Asha Mwakyonde, DAR ES SALAAM MGOMBEA wa nafasi ya udiwani Kata ya Saranga kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi John Sanga, amesema ameomba ridhaa ya wananchi ili aweze kushughulikia changamoto zilizopo katika kata hiyo, ikiwemo kumalizia asilimia 15 iliyobaki ya upatikanaji wa maji safi na salama. Akizungumza Oktoba 11, 2025 katika mkutano…

