
DC MSANDO MTAA KWA MTAA KUKAGUA HUDUMA YA MAJI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Mheshimiwa Albert Msando amefanya ziara ya kukagua hali ya maji katika Wilaya hiyo sambamba na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji King’ong’o katika Kata ya Saranga ambao umeanza kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)utakaohudumia wakazi takribani 92,000 katika mitaa ya Michungwani, King’ong’o na…