
VITAMBULISHO VIPYA VYA JAB KUIMARISHA TAALUMA YA UANDISHI WA HABARI
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam VITAMBULISHO vipya vya kidijitali vinavyoendelea kutolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) vimepokelewa kwa furaha na matumaini makubwa na waandishi wa habari nchini. Hatua hii imeelezwa kuwa ni mwanzo wa mwelekeo mpya wa tasnia ya habari nchini Tanzania. Waandishi wengi wa habari wamepongeza hatua hiyo, wakieleza…