
REA YANG’ARA MAONESHO YA WIKI YA CHAKULA TANGA
Na Mwandishi Wetu,Tanga Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia hapa nchini. Mhe. Majaliwa amebainisha hayo leo terehe 16 Oktoba 2025 alipotembelea banda la REA wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Chakula Duniani 2025 yaliyofanyika katika viwanja vya shule ya Usagara…