
ZAIDI YA VITONGOJI 2,350 MKOANI MTWARA VYAFIKISHIWA UMEME
Na Mwandishi Wetu,Mtwara WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umefikisha umeme katika vitongoji 2,354 kati ya vitongoji 3,421 Mkoani Mtwara huku ukiendelea kutekeleza miradi ya kusambaza umeme katika vitongoji vilivyosalia mkoani humo. Hayo yamebainishwa na Msimamizi wa miradi ya REA Mkoani Mtwara, Mhandisi Daniel Mwandupe Oktoba 18, 2025 Wilayani Newala mkoani humo wakati wa kampeni maalum…