
NEWALA WAIPA KONGOLE REA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJINI
Na Mwandishi Wetu,Mtwara WAKAZI wa vitongoji vya Chihanga, Mpilipili, Mkwedu na Majengo Wilayani Newala Mkoani Mtwara wameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kufikisha umeme katika vitongoji hivyo. Wametoa pongezi hizo Oktoba 19, 2025 kwa nyakati tofauti wakati wa kampeni maalum ya kuhamasisha wananchi vitongojini kujiunga na huduma ya umeme inayoratibiwa na REA. “Tunashukuru kufikishiwa…