
DCEA YAKAMATA KILOGRAMU 10,763.94 ZA AINA MBALIMBALI YA DAWA ZA KULEVYA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata jumla ya kilogramu 10,763.94 za aina mbalimbali za dawa za kulevya pamoja na kilogramu 6,007 na lita 153 za kemikali bashirifu, huku watuhumiwa 89 wakikamatwa kuhusiana na uhalifu huo.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, tarehe…