
OMO AWATAKA WAZANZIBAR KUSHIKAMANA KUMPIGIA KURA AWABORESHEE MAISHA
Na Mwandishi Wetu,Zanzibar MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amewataka Wazanzibari wote kushikamana kwa pamoja na kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu ujao ili kuinua maisha ya wananchi na kuinusuru Zanzibar. Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika Shumba ya Vyamboni, Jimbo la Tumbe, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Othman alisema kuwa…