TTCL:WATANZANI WANATAKA HUDUMA BORA NAFUU ZA INTANETI

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SHIRIKA  la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema  kuwa  uchunguzi walioufanya  wamebaini kuwa watanzania wanahitaji huduma bora za intaneti lakini za bei nafuu na kuahidi kuendelea kuboresha huduma zao kulingana na uhitaji. Akizungumza wakati wa kuzindua kifurushi kipya cha T-Fiber,Meneja wa Promosheni wa TTCL Janeth Maeda,alisema wameendelea kusikiliza maoni,mahitaji, na matarajio ya…

Read More