
WAZIRI AWESO:TUNA UHAKIKA WA MAJI YA KUTOSHA DAR NA PWANI
Na Mwandishi Wetu,Pwani Waziri wa maji Jumaa Aweso amewatoa hofu wakazi wa mikoa ya Dar na Pwani kuhusu upatikanaji wa huduma ya majisafi mara baada ya kutembelea na kukagua maboresho yaliyofanyika katika mtambo wa kuzalisha maji Ruvu juu “Kwakweli hali inaridhisha sasa, nilitoa maagizo ya maboresho katika mtambo huu, leo nimekuja kujionea, nitoe pongeze kwa…