TANESCO KIGAMBONI YATOA ELIMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA SHULE YA MSINGI MALAIKA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, TANESCO Mkoa wa Kigamboni ilitoa elimu ya matumizi ya umeme kwa ajili ya kupikia katika Shule ya Msingi Malaika iliyopo Kigamboni. Elimu hiyo ilitolewa wakati wa siku maalum ya ufunguzi wa shule tarehe 13 Januari, 2026…

