UWT KONDOA KUTOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM KUELEKEA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI
Na Asha Mwakyonde, DODOMA KATIKA kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake kitaifa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Wilaya ya Kondoa Hadija Kilala, amesema jumuiya hiyo imejipanga kuadhimisha siku hiyo kwa vitendo kwa kutoa misaada kwa watoto wenye mahitaji maalum, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali…

