WAZIRI GWAJIMA AIPONGEZA TANESCO KUANDAA KONGAMANO LA WANAWAKE LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dorothy Gwajima amelipongeza Shirika la umeme Tanzania TANESCO kwa kuandaa kongamano la wanawake wa Shirika hilo la kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ya umeme. Mhe. Gwajima ametoa pongezi hizo jana Machi 04, 2026 wakati wa ufunguzi wa…

