DAWASA YAWAUNGANISHIA MAJI KWA MKOPO WAKAZI WA KIBOSHA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Wakazi zaidi ya 100 wa Kitongoji cha Kibosha Mji Mpya wamejitokeza kuomba kuunganishiwa huduma ya majisafi na salama, wakati mradi wa maji wa Kibosha Mnarani ukiendelea kukamilishwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA). Mwitikio huo mkubwa umetokana na fursa iliyotolewa na Afisa Mtendaji Mkuu…

