DC KILWA AIPONGEZA TANESCO KWA KUJIPANGA KUFIKISHA UMEME KATIKA BANDARI YA UVUVI – KILWA.
Na Mwandishi Wetu,Kilwa MKUU wa Wilaya ya Kilwa, Mhe. Mohamed Nyundo, ameipongeza Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) kwa jitihada na utayari wake wa kuhakikisha umeme unafika katika mradi wa ujenzi wa Bandari ya Uvuvi, inayotarajiwa kuwa na mchango mkubwa katika fursa za kiuchumi. Mhe. Nyundo ameyasema hayo Mei 6, 2026, baada ya ziara ya…

