Skip to content
Saturday, September 19, 2026
REA YABORESHA UZALISHAJI CHUMVI SINGIDA, YAWAWEZESHA WANAWAKE
MADAWATI YA MSAADA WA KISHERIA NYENZO MUHIMU KATIKA UPATIKANAJI WA HAKI NCHINI
DK.MWIGULU:WATU ZAIDI YA MILIONI MBILI HAWAJACHUKUA VITAMBULISHO NIDA
KAMATI YA JTC YAJIFUNZA MFUMO WA SCADA PBPA
Taifa Tanzania

Taifa Tanzania

Gazeti lako la kila siku

Youtube Live
  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
  • Biashara
  • Burudani
  • Fashion
  • Gazeti Taifa
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi

Chief Editor

Saroj Mhr

Lorem ipsum is simply dummy text
  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
REA YABORESHA UZALISHAJI CHUMVI SINGIDA, YAWAWEZESHA WANAWAKE
MADAWATI YA MSAADA WA KISHERIA NYENZO MUHIMU KATIKA UPATIKANAJI WA HAKI NCHINI
DK.MWIGULU:WATU ZAIDI YA MILIONI MBILI HAWAJACHUKUA VITAMBULISHO NIDA
KAMATI YA JTC YAJIFUNZA MFUMO WA SCADA PBPA
Taifa Tanzania

Taifa Tanzania

Gazeti lako la kila siku

Youtube Live
  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
  • Home
  • 2026
  • May
  • 16

Highlight News

Kitaifa
REA YABORESHA UZALISHAJI CHUMVI SINGIDA, YAWAWEZESHA WANAWAKE
Kitaifa
MADAWATI YA MSAADA WA KISHERIA NYENZO MUHIMU KATIKA UPATIKANAJI WA HAKI NCHINI
Kitaifa
DK.MWIGULU:WATU ZAIDI YA MILIONI MBILI HAWAJACHUKUA VITAMBULISHO NIDA
Kitaifa
KAMATI YA JTC YAJIFUNZA MFUMO WA SCADA PBPA

Day: May 16, 2026

  • Kitaifa

MWENGE WAPITA NYASA, MRADI WA REA WA BILIONI 4 WAZINDULIWA

Aziza Masoud4 months ago4 months ago03 mins

Na Mwandishi Wetu,Ruvuma WANANCHI wa Kitongoji cha Ndecha Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wameanza kushuhudia mwanga wa matumaini baada ya kuzinduliwa rasmi kwa mradi wa REA kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 4.17 wa kusambaza umeme unaotekelezwa kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), mradi ambao unatarajiwa kuleta mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa…

Read Full News
  • Kitaifa

TAHLISO: YALIYOTOKEA YASIJIRUDIE TENA

Aziza Masoud4 months ago4 months ago01 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema wanavyuo wa mkoa wa Dar es Salaam wanaunga mkono tamko ‘never again’ lililotolewa na vijana Mkoa wa Dodoma mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kiliba ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Mei 16, 2026 Jumamosi katika…

Read Full News
  • Kitaifa

CHALAMILA:VIJANA MSIHARIBU MAISHA KWA PROPAGANDA ZA SIASA

Aziza Masoud4 months ago4 months ago01 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salàam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka vijana wasiharibu maisha yao kwa siasa na propaganda za chuki, badala yake wajikite katika jitihada kwa kuwa ndio siri pekee ya mafanikio katika maisha yao. Amesisitiza maisha si mepesi kama wengi wanavyodhani, ni magumu na hayako kwenye propaganda ya vinywa…

Read Full News
  • Kitaifa

WENJE:VIJANA MNA WAJIBU KUILINDA TANZANIA

Aziza Masoud4 months ago4 months ago01 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MWANASIASA na mbunge wa zamani wa Nyamagana mkoani Mwanza, Ezekia Wenje amesema vijana wana wajibu wa kulinda nchi bila kujali itikadi za vyama vya siasa. Amesema hayo leo , Jumamosi Mei 16,2026 katika kongamano la wanafunzi wa vyuo lenye kauli mbiu ‘never again’ tuipende, tuitunze , tuilinde nchi yetu’ lililofanyika…

Read Full News

Habari Zote Mpya

  • REA YABORESHA UZALISHAJI CHUMVI SINGIDA, YAWAWEZESHA WANAWAKE
  • MADAWATI YA MSAADA WA KISHERIA NYENZO MUHIMU KATIKA UPATIKANAJI WA HAKI NCHINI
  • DK.MWIGULU:WATU ZAIDI YA MILIONI MBILI HAWAJACHUKUA VITAMBULISHO NIDA
  • KAMATI YA JTC YAJIFUNZA MFUMO WA SCADA PBPA
  • WAOSHA MAGARI WAUZA MAUA WAPEWA SOMO UPOTEVU MAJI
  • MASAUNI: TABIANCHI FURSA YA AJIRA UWEKEZAJI
  • TUZO SHINDANI KUONGEZA TIJA YA SEKTA YA MAZIWA
  • MRADI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME WA KV 220 IGANJO–SAZA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME NA KUCHOCHEA UCHIMBAJI WA MADINI – MHE. SALOME
  • Tanzania na Korea Zatafuta Ushirikiano Imara wa Kiuchumi
  • DAWASA KUFANYA MATENGENEZO KINGA, MAJI KUKATIKA KWA SAA 12

Habari Zote

  • Biashara
  • Burudani
  • Fashion
  • Gazeti Taifa
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi
© 2024 Taifa Tanzania. All rights reserved. Powered By BlazeThemes.